Watu 38 wameripotiwa kujeruhiwa 3 kati yao wakiwa na hali mbaya kufuatia ajali ya daladala iliyotokea leo mchana eneo la Jet katika barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam.
Chanzo cha ajali hiyo kimeelezwa na mashuhuda kuwa ni dereva alipotaka kumkwepa mwendesha baiskeli ndipo daladala hilo likapinduka na kwenda kugonga nguzo za taa za kuongozea magari baada ya kushindwa kulimudu.


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni