.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 31 Mei 2016

KINDA MARCUS RASHFORD ATAJWA KATIKA KIKOSI CHA UINGEREZA

Mshambuliaji kinda wa Manchester United, Mracus Rashford. ametajwa katika kikosi Roy Hodgson cha wachezaji 23 wa Uingereza watakaocheza Michuano ya Mabinwa Ulaya nchini Ufaransa.

Rashford, 18, alifunga goli lake la kwanza akiichezea Uingereza katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki walioibuka na ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya Australia siku ya Ijumaa.

Katika kikosi hicho yupo pia mshambuliaji wa Uingereza Daniel Sturridge lakini mchezaji wa Newcastle United, Andros Townsend na wa Leicester City Danny Drinkwater wote wameachwa.

Kikosi kamili cha Uingereza ni kama ifuatavyo:-

1. Joe Hart
2. Kyle Walker
3. Danny Rose
4. James Milner
5. Gary Cahill
6. Chris Smalling
7. Raheem Sterling
8. Adam Lallana
9. Harry Kane
10. Wayne Rooney
11. Jamie Vardy
12. Nathaniel Clyne
13. Fraser Forster
14. Jordan Henderson
15. Daniel Sturridge
16. John Stones
17. Eric Dier
18. Jack Wilshere
19. Ross Barkley
20. Dele Alli
21. Ryan Bertrand
22. Marcus Rashford
23. Tom Heaton 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni