.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 2 Mei 2016

MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI 2016 YAFANYIKA KITAIFA JIJINI MWANZA.

Bi.Valerie Msoka kutoka Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA), akiongoza kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari kwa mwaka 2016 yanayofanyika kitaifa katika hoteli ya ufukweni ya Malaika Jijini Mwanza.

 Na George Binagi

Kauli mbiu ya Maadhimisho haya mwaka huu ni "Kupata Taarifa ni Haki yako ya Msingi:Idai'".

Maadhimisho haya yanafanyika kitaifa kwa mara ya nne na yanalenga kukumbusha Umma na dunia kwa ujumla umuhimu wa vyombo vya habari kufanya kazi yake bila kuingiliwa na mtu ama chombo chochote.

Zaidi ya wadau 250 wakihusisha waandishi wa habari wakongwe na wapya, wahariri, viongozi wa mashirika wahisani (ya kimataifa na ya hapa nchini) wawakilishi wa mihili ya nchi, wasomi wa vyuo vikuu na balozi mbalimbali wamekusanyika jijini hapa kwa maadhimisho hayo ambayo kilele chake ni kesho
Wanahabari na Wadau wa Habari wakiwa katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari yanayofanyika Kitaifa Jijini Mwanza.

Watoa Mada katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari 2016 yanayofanyika Jijini Mwanza. Kilele cha Maadhimisho hayo kinafanyika kesho Mei 3,2016 ambapo Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman. Pia Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Mhe. Nape Nhaute pamoja na wageni wengine waalikwa wanatarajia kuhudhuria maadhimisho hayo.

Usia Nkhoma Ledama ambae ni Afisa Habari kutoka UN Information Centre (Tanzania) akiwasilisha Mada katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari yanayofanyika Kitaifa Jijini Mwanza.
Wanahabari na Wadau wa Habari wakiwa katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari yanayofanyika Kitaifa Jijini Mwanza.
Wanahabari na Wadau wa Habari wakiwa katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari yanayofanyika Kitaifa Jijini Mwanza.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni