.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 19 Mei 2016

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI UINGEREZA DKT. ASHA - ROSE MIGIRO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia suluhu Hassan akiwa kaitka Mazungumzo na na Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza Dkt Asha-Rose Migiro alipokwenda Ofisini kweke leo Ikulu jijini Dar es Salaam Tarehe 19/05/2016
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza Dkt Asha - Rose Migiro kabla ya Mazungumzo yao Ofisini kwake Ikulu Jijini Dar es Salaam Tarehe 19/05/2016
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika Picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza Dkt Asha - Rose Migiro leo Ikulu Dar es Salaam Tarehe 19/05/2016

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni