.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 19 Mei 2016

NDEGE YA SHIRIKA LA NDEGE LA EGYPTAIR YATOWEKA NA ABIRIA 66

Ndege ya Shirika la Ndege la Misri la EgyptAir imetoweka ikitokea Jiji la Paris kwenda Cairo ikiwa na abiria 66.

Ndege hiyo aina ya Airbus A320 imetoweka mashariki mwa Mediterranean, ikiwa na abiria 56 wakiwemo watoto watatu, watumishi saba wa ndege pamoja na maafisa usalama watatu.

Abiria wa ndege hiyo walikuwa Wamisri 30, Wafaransa 15, Muingereza mmoja Wairaki wawili na watu kutoka mataifa ya Canada, Ubelgiji, Kuwait, Saudi Arabia, Algeria, Sudan, Chad na Ureno.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni