“Hii video ingekamilika mwezi wa nne mwaka huu lakini imechelewa baada ya kuahirisha kuishoot mara kwa mara kutokana na kunichukua muda mrefu kuzoeana na video queen wangu”. Alisema Nyasa ambae kiuhalisia ana aibu sana alipokuwa akizungumza na BMG
Video hiyo ambayo imerekodiwa na “Blue Ray Video” chini ya Director “Musta” ilitarajia kutoka mwezi April mwaka huu jambo ambalo limeshindikana kutokana na sababu zilizoelezwa na Nyasa Boy, hivyo inatarajia kutoka mwezi huu wa tano.
Nyasa Boy (kushoto) akiwa Location na Video Queen Mwanne (Kulia).
Bonyeza HAPA Kutazama picha za Chongoroa
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni