Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka akiwa anaongea na wananchi wilaya ya Same kwenye mkutano wa hadhara.
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka akiwa anaonyeshwa moja ya miradi ya UVCCM wilaya ya Same.
Na Woinde Shizza, Same
Wabunge wa upinzani wametakiwa kuwatetea wananchi, kutatua kero zao pamoja na kuwawakilisha vyema wanapokuwa bungeni na sio kufanya kazi ya kutoka nje ya bunge kwa mambo ya siyokuwa ya msingi.
Hayo yamebainishwa leo na kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka wakati akiongea na wananchi wa wilaya ya Same katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa standi ya Same.
Alisema kuwa ni jambo la kuchekesha na kushangaza kuona kiongozi ambaye amechaguliwa na mwananchi ili akamuwakilishe kwa kupeleka kero zao bunge anafika bungeni na kutoka nje kutokana na sababu zisizo za msingi.
"unajua ni jambo la kushangaza kuona mbunge anasusia kikao cha bunge kisa eti serekali imekata a kurusha vikao vya bunge live sasa jamani uyu mbunge katumwa kuuza sura kwenye televisheni au kupeleka kero za wananchi, mbona awa Wabunge watakuwa kama harusi iliyokosa Vyombo "alisema shaka
Alibainisha kuwa wananchi wa nataka kutekelezewa ahadi zao na sio kuona sura zao kwenye tv, na kuaidiwa ahadi zisizo tekelezwa.
Alisema kuwa wananchi wa sasa ivi wa nataka maendeleo, na viongozi kuona Sura zao bungeni wakiwa wanafanya mambo ya ajabu na ya kutia aibu wanapokuwa bungeni.
Aliongeza kuwa iwapo kama viongozi wa upinzani wameshidwa kufanya kaziwaliotumwa na wananchi wao basi waachie ngazi kwakijiuzuru ili wanaweza kufanya kazi na wanaotambua nini walichoenda kufanya bungeni wafanyabiashara.
Aidha Alibainisha kuwa viongozi wa Ccm pamoja na serekali wa me jipanga vyema kuhakikisha wanatatua kero za wananchi na kuwaumizia yule yote ambayo wali waaidi wananchi wakati wa kipindi cha kampeni.
Mwisho.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni