.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 3 Mei 2016

RONALDO MWENYE FURAHA TELE MAZOEZINI KUIVAA MANCHESTER CITY

Kocha wa Real Madrid, Zinedine Zidane amesema, Cristiano Ronaldo, atakuwa fiti kesho kuivaa Manchester City katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya kwenye dimba la Bernabeu.

Ronaldo aliukosa mchezo wa wiki iliyopita waliotoka sare ya 0-0 baina ya timu hizo Jijini Manchester, lakini kocha wake amesema mchezaji huyo atashuka dimbani kesho.
                                               Cristiano Ronaldo akifanya mazoezi ya kukimbia
                                                         Cristiano Ronaldo akituliza mpira gambani

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni