.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 3 Mei 2016

RATIBA YA KUWASILI NA MAZISHI YA MPENDWA WETU ANDREW NICKY SANGA HAPA TANZANIA.

RATIBA YA KUWASILI NA MAZISHI YA MPENDWA WETU

ANDREW NICKY SANGA

Ndugu zetu pamoja na Marafiki; Kwa niaba ya Familia ya Bwana Nicky Amon Sanga, Kamati ya Maandalizi inapenda kuwajulisha Ratiba ya Safari ya Mpendwa wetu ANDREW NICKY SANGA hapa Tanzania kuanzia kuwasili kwa mwili wa Marehemu hadi tutakapomweka kwenye nyumba yake ya Milele.


Jumanne 3 Mei 2016, Saa 3:55 Usiku Mwili kuwasili Uwanja wa Ndege: Julius Nyerere

Familia, Ndugu, Marafiki na Jamaa Wote


Saa 4:30-5:30 Usiku Kuelekea Kuhifadhi Mwili Hospitali ya Taifa Muhimbili  - Familia, Ndugu na Marafiki na Jamaa Wote


Jumatano 4 Mei 2016, Saa  4:00-6:00 Asubuhi Ibada ya Kuaga Kanisa la Kilutheri Ubungo (Nyuma ya Ubungo Plaza) - Familia, Ndugu, Marafiki na Jamaa Wote.


Saa 6:30 Mchana Safari ya Kuelekea Dodoma Kanisa la Kilutheri Ubungo  - Wote Waliojiandaa.


                                                                                                       DODOMA


Saa 5:00:-6:00 Asubuhi Chakula Nyumbani- Kizota  - Waombolezaji Wote


Saa 6:00 Kuelekea Uwanja wa Mashujaa -  Waombolezaji Wote


Saa 6:30-7:20 Mchana IBADA Uwanja wa Mashujaa - Waombolezaji Wote


Saa 7:30-8:45 Mchana Heshima za Mwisho Uwanja wa Mashujaa - Waombolezaji Wote


Saa 8:46 Mchana Kuelekea Makaburini  - Waombolezaji Wote


Saa 9:20 Mchana Mazishi Makaburi ya Hijra Chinangali  - Waombolezaji Wote

Familia inazidi kutoa shukrani za dhati kwenu wote kwa jinsi mlivyokuwa pamoja nasi tangu mwanzo wa tukio hili hadi sasa. 

                                                                 Mungu wa Mbinguni Awabariki Sana.


                  BWANA Ametoa, BWANA Ametwaa, Jina la BWANA Lihimidiwe.


Imetolewa na Dr. George Longopa KNY Kamati ya Maandalizi ya Dar es Salaam


Simu 0754 870969


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni