.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 3 Mei 2016

TUME YA KUREKEBISHA SHERIA YAKUTANANA NA WATAALAMU KUTOKA MAREKANI

mw1Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Mhe. Jaji Aloysius Mujulizi akiongoza kikao cha pamoja baina ya Tume na Wataalamu kutoka Marekani kujadili Mfumo wa Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai Tanzania.
mw2Kamishna wa Tume Prof. Sufian Bukurura akizungumza wakati wa mkutano wa pamoja baina ya Tume na Wataalamu kutoka Marekani wakiongozwa na Prof Allen kujadili Mfumo wa Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai Tanzania.
mw3
Sehemu wa washiriki wa kikao cha pamoja baina ya Tume na Wataalamu kutoka Marekani kujadili Mfumo wa Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai Tanzania.
mw4 
Mmoja wa washiriki kutoka Marekani akijitambulishwa wakati wa kikao cha pamoja baina ya Tume na Wataalamu kutoka Marekani kujadili Mfumo wa Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai Tanzania.
mw5Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Mhe. Jaji Aloysius Mujulizi ( wan ne kulia) akiwa katika picha ya pamoja na wataalamu kutoka Marekani wakioongozwa na Prof Allen ( kulia kwa Mwenyekiti) wakati wa kikao cha pamoja baina ya Tume na Wataalamu kutoka Marekani wakiongozwa na Prof Allen kujadili Mfumo wa Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai Tanzania. (Picha na Munir Shemweta, Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni