.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 3 Mei 2016

WAKAZI WA NEWCASTLE UNITED WAKATA POMBE KUPINDUKIA MEI MOSI

Mitaa ya mji wa Newcastle nchini Uingereza ilijaa vioja vilivyotokana na wakazi wake kunywa pombe kupita kiasi na kushindwa kujimudu katika mapumziko ya mwishoni mwa wiki ya Mei Mosi.

Watu wanaopenda kuponda raha walifurika kwenye Pub pamoja na Klabu za usiku kugida maji kupindukia kutokana na kupata mapumziko ya ya Mei Mosi.
             Watu wakitoa msaada wa kumnyanyua mwenzao aliyezidiwa na kilevi 
                            Wengine waliamua kulala popote baada ya kufakamia pombe 
                                                    Huyo akirudisha chenchi kwenye pipa la takataka

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni