.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 3 Mei 2016

MPIGA NGOMA WA MAGIC SYSTEM AFA MAJI NCHINI IVORY COAST

Mpiga ngoma wa bendi maarufu ya muziki ya Magic System nchini Ivory Coast amekufa maji akiwa na umri wa miaka 46, taarifa ya kwenye Facebook ya kundi hilo imesema.

Mpiga ngoma huyo Didier Deigna, anayejulikana jukwaani kama Pepito, amekufa maji kwenye fukwe ya mji mdogo wa Jacqueville kusini mwa Ivory Coast siku ya jumapili.

Bendi ya Magic System ni maarufu mno kwa mataifa yanayoongea Kifaransa Maharibi mwa Afrika na nchini Ufaransa.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni