Watu
zaidi ya 50 katika maeneo tofauti ya Bangladesh wamekufa baada ya
kupigwa na radi katika siku mbili zilizopita.
Polisi
wa nchi hiyo wamesema wengi wa waliokufa walikuwa ni wakulima ambao
waliuwawa na radi wakiwa mashambani.
Nchi
ya Bangladesh huwa inakabiliwa na mvua za radi lakini mwaka huu
zimekuwa na mdhara makubwa.


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni