.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 14 Mei 2016

KIONGOZI WA HEZBOLLAH ALIUWAWA NA WAPIGANAJI WA VITA VYA JIHAD

Kamanda mwandamizi wa Hezbollah nchini Syria, Mustafa Badreddine aliuwawa na kombora lililofyatuliwa na wapiganaji wa vita ya Jihad, kwa mujibu wa taarifa ya makundi ya Lebanon.

Kifo cha Badreddine, karibu na uwanja wa ndege wa Damascus kilitangaza jana na awali ilishutumiwa Israel kwa kuhusika na mauaji ya Mkuu huyo wa kundi la Hezbollah.

Badreddine anaaminika alikuwa akiongoza operesheni zote za kundi la Hezbollah nchini Syria tangu mwaka 2011.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni