.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 30 Mei 2016

WAYNE ROONEY NA GARY NEVILLE WAONYESHA VIPAJI VYAO VYA KUIMBA MUZIKI


Wachezaji wa Uingereza wameshiriki tamasha ya hisani ambapo mchezaji Wayne Rooney na mchezaji wa zamani Gary Neville walipanda jukwani na kuimba pamoja na James Bay katika tukio hilo lililofanyika jana.

Katika tamasha hilo wachezaji wa Uingereza Gary Cahill, Joe Hart, Rooney, Chris Smalling pamoja na James Milner walikuwa ni sehemu ya kikosi cha timu ya taifa Uingereza kuhudhuria tamasha hilo la Mfuko wa Wachezaji wa Uingereza huko St Albans.
                                    Wayne Rooney akifurahi jambo jukwani wakati akiimba
Nyota mkongwe wa soka duniani Pele alikuwa ni miongoni mwa wageni waalikwa
                              Wachezaji wa Timu ya Taifa Uingereza wakipozi kwa picha

 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni