.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 16 Juni 2016

ANTOINE GRIEZMANN NA DIMITRI PAYET WAIPAISHA UFARANSA EURO 2016

Magoli ya dakika za mwisho ya Antoine Griezmann na Dimitri Payet yamewahakikishia wenyeji wa michuano ya Euro 2016 timu ya Ufaransa ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Albania na kutinga hatua ya mtoano.

Katika mchezo huo Albania walikuwa wa kwanza kugonga mwamba wa goli la Ufaransa katika kipindi cha pili baada ya Ledian Memushaj kupiga krosi iliyompita kipa wa Ufaransa Hugo Lloris.
                                 Dimitri Payet akipiga shuti la kuzungusha lililojaa wavuni
             Dimitri Payet akiruka juu na kukanyaga kibendera cha kona akishangilia goli

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni