.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 16 Juni 2016

SLOVAKIA YAPATA USHINDI WAKE WA KWANZA KATIKA MICHUANO YA EURO 2016

Mchezaji Marek Hamsik amefunga goli la dakika za mwisho na kuifanya Slovakia kuwafunga Urusi kwa magoli 2-1 na kupata ushindi wao wa kwanza katika michuano ya Euro 2016.

Katika mchezo huo kiungo huyo wa Napoli alitoa pande kwa Vladimir Weiss ambaye alipiga mpira kwa kuuchonga na kuifanya Slovakia kuongoza kwa goli moja. Urusi walipata goli la kufutia machozi kupita kwa Denis Glushakov.
                           Marek Hamsik akiachia shuti lililozaa goli la pili kwa Slovakia
            Kipa wa Slovakia akiruka bila ya mafanikio kuzuia mpira usiingie wavuni

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni