Mmoja wa wabunge hao wa jimbo la
Kitutu Masaba, Tomothy Bosire amesema alijisikia kuathirika
kisaikolojia pale alipolazimika kujisaidia haja ndogo na kubwa kwenye
ndoo akiwa rumande mbele ya wenzake.
Bosire amesema kuwa vitendo vya
udhalilishaji vya namna hiyo kwa watu wanaoshikiliwa na polisi
vinapaswa kukoma. “Unaweza kufikiri hali ya mtu kujisaidia kwenye
ndoo mbele ya wenzako wakikuangalia !,” alisema Bosire kwa mshangao.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni