.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 20 Juni 2016

WABUNGE WAJADILI MAREKEBISHO YA SHERIA MPYA YA UNUNUZI WA UMMA, DODOMA

Mbunge wa Korogwe Vijijini, Stephen Ngonyaji (Prof. Maji Marefu) akichangia jambo wakati wa mjadala kuhusu Marekebisho ya Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura 410, wakati wa semina iliyofanyika katika ukumbi wa Pius Msekwa, Bungeni Mjini Dodoma Jana
Mbunge wa Nkasi, Ali Kessy, akichangia jambo wakati wa mjadala kuhusu Marekebisho ya Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura 410, wakati wa semina iliyofanyika katika ukumbi wa Pius Msekwa, Bungeni, Mjini Dodoma, Jana.
Mwenyekiti wa Semina ya Wabunge kuhusu Marekebisho ya Sheria ya Ununuzi wa Umma,Sura 410, Mhe. Hawa Ghasia akiongoza mjadala kuhusu Marekebisho ya Sheria hiyo, katika Ukumbi wa Pius Msekwa, Bungeni, mjini Dodoma, jana.
Mbunge wa Iringa Mjini, Mchg. Peter Msigwa, akichangia jambo wakati wa mjadala kuhusu Marekebisho ya Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura 410, wakati wa semina iliyofanyika katika ukumbi wa Pius Msekwa, Bungeni, Mjini Dodoma, Jana.

Baadhi ya maofisa waandamizi wa Wizara ya Fedha na Mipango, wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Servacius Likwelile (aliyekaa kiti cha mbele), wakifuatilia mada iliyowasilishwa kwa wabunge kuhusu Marekebisho ya Sheria ya Ununuzi wa Umma, sura 410, katika ukumbi wa Pius Msekwa, Bungeni, Mjini Dodoma, jana
Kamishna wa Sera ya Ununuzi wa Umma, kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, DKT. Fredrick Mwakibinga, akiwasilisha mada kwa waheshimiwa wabunge, kuhusu Marekebisho ya Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura 410, iliyofanyika katika ukumbi wa Pius Msekwa, Mjini Dodoma, jana
Naibu waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji (Kushoto) na Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Harrison Mwakyembe, wakifuatilia kwa makini mada kuhusu Marekebisho ya Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura 410, iliyotolewa kwa waheshimiwa wabunge katika ukumbi wa Pius Msekwa, jana Bungeni Mjini Dodoma
Baadhi wa Waheshimiwa wabunge wakifuatilia kwa makini mada iliyowasilishwa kwao kuhusu Marekebisho ya Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura 410, iliyofanyika katika ukumbi wa Pius Msekwa, Bungeni Mjini Dodoma Jana.
Baadhi wa Waheshimiwa wabunge wakifuatilia kwa makini mada iliyowasilishwa kwao kuhusu Marekebisho ya Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura 410, iliyofanyika katika ukumbi wa Pius Msekwa, Bungeni Mjini Dodoma Jana.
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Harrison Mwakyembe, akifafanua jambo wakati wa semina ya waheshimiwa wabunge kuhusu Marekebisho ya Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura 410, iliyofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa, Bungeni mjini Dodoma jana. Kusoto kwake ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji na Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Semina hiyo, Mhe. Hawa Ghasia.
Kamishna wa Sera ya Ununuzi wa Umma, kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Fredrick Mwakibinga, akiwasilisha mada kwa waheshimiwa wabunge, kuhusu Marekebisho ya Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura 410, iliyofanyika katika ukumbi wa Pius Msekwa, Mjini Dodoma, jana.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni