Mabingwa watetezi wa Copa America
Chile watakutana na Colombia kwenye nusu fainali baada ya kuipa
kichapo kikali Mexico cha magoli 7-0.
Katika mchezo huo Eduardo Vargas
alifungia Chile magoli manne naye Edson Puch akifunga magoli mawili
huku mshambuliaji wa Arsenal Alexis Sanchez akifunga goli la saba.
Eduardo Vargas akikimbia kushangilia goli alilofunga
Eduardo Vargas akiruka juu kushangilia goli la pili alilofunga huku Sanchez akifurahia



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni