Muigizaji filamu nyota wa Marekani
Halle Berry ameibua uvumi wa kuwa ameanzisha mapenzi mapya baada ya
kuonekana na mwanaume mmoja.
Oktoba mwaka jana Halle Berry na
mumewe Olivier Martinez walitangaza kutengana, na sasa Berry, 49,
yupo singo na kuonekana akiwa amekumbatia na mwanaume huyo kumeibua
uvumi.
Halle Berry akiwa anaongozana na mwanaume huyo aliyeibua uvumi wa mahusiano mapya
Licha ya kuwa na umri wa miaka 49 Halle Berry bado anaonekana mwenye mvuto



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni