.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 26 Juni 2016

KIKAO KAZI CHAFANIKIWA KUHUISHA HAZINA BLOG

Maofisa Mawasiliano wa Wizara ya Fedha na Mipango wakianzisha Blog ya Hazina katika kikao kazi kilichofanyika Hazina Ndogo mjini Dodoma leo, ambapo pia waliwashirikisha baadhi ya mablogger maarufu na watalaam wa tehama.
Mdau wa mitandao ya kijamii kutoka Michuzi Media Group, Ahmad Michuzi akielekeza jambo wakati kikao kazi hizo cha kuanzisha Blogu ya Wizara ya Fedha na Mipango HAZINA BLOG leo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni