Mtaalam na Mtafiti wa Tembo ,Dkt Alfred Kikoti akiwasilisha mada juu ya changamoto zinazowakabili wanyama wakubwa ikiwemo mauaji ya Tembo na Faru katika mkutano wa mwaka wa Hifadhi za Taifa Tanzania na Wahariri pamoja na Waandishi wa habari waandamizi,mkutano unaofanyika mkoani Morogoro.
Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) akichangia mjadala wakati
wa mkutano wa TANAPA na Wahariri pamoja na Waandishi wa habari
waandamizi.
Washiriki wa mkutano wa mwaka wa Hifadhi za Taifa Tanzania na Wahariri pamoja na Waandishi wa habari waandamizi
Mhifadhi Angela Nyaki akiwasilisha mada juu ya Changamoto za mifugo katika Hifadhi za Taifa (TANAPA).
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakichangia katika mkutano huo.
Na Dixon Busagaga wa Michuzi Blog.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni