Watu wapatao 11 wameuwawa katika
tukio la mlipuko wa bomu uliolenga basi la polisi kati kati ya Jiji
la Istanbul.
Bomu hilo la kulipuliwa kwa rimoti,
lilipuka wakati basi hilo likipita wilaya yenye shughuli nyingi ya
Vezneciler majira ya asubuhi.
Hakuna kundi lililosema hadi sasa
kuwa limetekeleza shambulizi hilo.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni