.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 21 Juni 2016

MAMIA WAJITOKEZA USAILI WA MAISHA PLUS DAR ES SALAAM

677A0614
Akitaja vigezo vya kushiriki Maisha Plus, Kaka Bonda, miongoni mwa majaji na waanzilishi wa Maisha Plus alisema, “Tunachukua washiriki wenye umri wa miaka 18 hadi 26, walio na elimu na ambao hawajasoma kabisa, wawe raia kutoka nchi za Afrika Mashariki”
677A0389
677A0646
677A0422
Maisha Plus kwa mwaka huu wa 2016 inatarajia kuchukua washiriki 30 kutoka nchi tano ambazo ni Burundi, Rwanda, Kenya, Uganda na Tanzania ambapo mshindi atafadhiliwa wazo la biashara lenye thamani ya fedha ya kitanzania Milioni 30. Kauli mbiu ya mashindano haya kwa mwaka huu ni ‘Vijana Ndio Ngazi’.
677A0857
677A0262
677A0763
Usaili unaendelea katika mikoa mingine na nchi nyingine nje ya Tanzania. Vijana wametakiwa kusikiliza matangazo ya ratiba kupitia redio mbalimbali katika nchi shiriki, runinga ya Azam Two, mitandao mbalimbali ya kijamii pamoja na tovuti maalum ya mashindano hayo ya www.maishaplus.tv
677A0946
677A1028 Tunamalizia hivi kutoka kijiji cha Makumbusho Kijitonyama ulipofanyika usaili wa #MaishaPlusDar. Asanteni sana vijana wote mlioshiriki kwa wingi na wale wa mkoa wa Pwani na mikoa mingine mliojitokeza. Mliokosa nafasi kwa sababu ya kuchelewa ama sababu nyingine, poleni sana na karibuni msimu mwingine. Endelea kutufuatilia hapa mtandaoni na kupitia king’amuzi cha @azamtvtz kujua lini tutakua mkoani kwako. #MaishaPlusYaMwendoKasi #VijanaNdioNgazi

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni