.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 29 Juni 2016

MOTO WATEKETEZA HOTELI TATU ZA WATALII ZA KAMPUNI YA NEPTUNE MOMBASA

Hoteli tatu zinazomilikiwa na Neptune zilizopo Diani, kaunti ya Kwale Momabasa Kenya zimeteketea kwa moto jana.

Kwa mujibu wa Meneja wa Hoteli hizo Jackson Kifoto, moto huo ulianza majira ya saa 11:30 jioni kwenye jengo la Hoteli ya Palm Hotel, iliyoungana na hoteli nyingine za Neptune.

Bw. Kifoto amesema moto huo ulisambaa kutokana na upepo mkali na kufila kwenye kijiji cha jirani na katika hoteli ya Paradise.
                                                 Watu wakishuhudia moto huo ukiteketeza hoteli 
                                       Moto ukiwa umeteketeza kabisa hoteli hizo za Neptune

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni