Serena Williams amefanikiwa kusonga
mbele katika michuano ya Wimbledon 2016 kwa kumfunga Mswizi Amra
Sadikovic, kwa seti 6-2 6-4.
Katika mchezo huo Serena alikuwa
amevalia kwa mara ya kwanza gauni fupi jipya lililobuniwa na kampuni
ya Nike, ambalo limekuwa likikosolewa kwa kuwa ni fupi mno.
Serena Williams akipiga mpira katika mchuano huo
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni