.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 17 Juni 2016

MTANZANIA BW. MAKALA JASPER ATUNIKIWA TUZO NA NATIONAL GEOGRAPHIC SOCIETY

Mhe. Wilson M. Masilingi, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Marekani akiwa na Bw. Makala Jasper alipotembelea ofisi za Ubalozi
Pichani: Rais wa National Geographic Society Bw. Gary E. Knell mara baada ya kumkabidhi Bw. Makala Jasper tuzo. Kulia ni Mhe. Balozi Wilson M. Masilingi
Bw. Makala Jasper akitoa shukurani kwa kupewa tuzo
National Geographic Society/Buffett Award for Leadership in African Conservation

Bw. Gary Knell akiwa na Bi. Mounia Mechbal, Mwakilishi wa Rolex,Bw. Lee Berger mshindi wa tuzo ya Explorer of the Year, na Terry Garcia, Mkuu wa Masuala ya Sayansi na Utafutaji, National Geographic
Bi. Pasang Akita akipokea tuzo ya Adventurer of the Year

Pichani katikati: Washindi wa Tuzo ya Hubbard Medal  Bw. Nainoa Thompson na Bi. Meave Leakey

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni