Mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini,Vanessa Laban, kutoka Jijini Mwanza, anatarajia kuachia Album yake mpya iitwayo "Sifa Zivume" iliyo katika mfumo wa Sauti/ Audio na Picha Nyongevu.
Albam hiyo inasambazwa na Kampuni ya Vipaji Entertainment inayosimamiwa na Maganga Gwensaga, ambae ni Meneja wa Kituo cha Radio cha HHC Alive cha Jijini Mwanza.
Bonyeza hapa https://www.hulkshare.com/4edt8qz7ify8
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni