Mwanamke mwenye ndevu ameamua
kuachana na kuzinyoa ndevu zake na kuachia mzuzu uliojaa, na kudai
hakuwahi kujisikia mwanamke mwenye mvuto kwa kipindi chote.
Mwanamke huyo Rose Geil, 39, mkazi
wa Oregon alibaini kuwa na nywele nyingi mwilini akiwa na umri wa
miaka 13, na kuzinyoa mara moja.
Baada ya hapo alikuja kubaini kuwa
atalazimika kunyoa ndevu hizo katika maisha yake yote ambapo alifanya
hivyo kwa miaka 20.
Bi. Rose Geil anavyoonekana akiwa ameonyoa ndevu zake
Bi. Rose Geil akiwa ameziachia ndevu zake
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni