.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 7 Juni 2016

OFISA WA JESHI ATWAA TAJI LA MISS USA 2016

Ofisa katika jeshi la Marekani, Deshauna Barber mwenye umri wa mika 26 ameibuka kidedea baada ya kushinda taji la Miss USA 2016

Mrembo huyo kutoka wilaya ya Columbia aliwagaragaza washindani wake wa karibu ambao ni Miss Hawaii Chelsea Hardin na Miss Georgia Emanii Jovan Davis ambao wote kwa pamoja waliingia tatu bora katika shindano hilo lililofanyika katika ukumbi wa T-Mobile Arena mjiniLas Vegas. 

Miss Hawaii Chelsea Hardin alishika nafasi ya pili katika shindano hilo.
Miss Hawaii Chelsea Hardin alishika nafasi ya pili katika shindano hilo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni