Msajili
wa Hazina, Laurence Mafuru, akifafanua jambo wakati wa Hafla fupi ya
serikali kukabidhiwa Hundi za Mfano zenye thamani ya shilingi Bilioni
23 kutoka kwa Kampuni za Puma Energy, Tiper (T) na NBC Bank PLC,
ambazo imewekeza hisa zake, katika ukumbi wa Hazina Mjini Dodoma.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Puma Energy Dkt Ben Mosha,
akizungumza Jambo wakati wa Hafla fupi ya serikali kukabidhiwa Hundi
za Mfano zenye thamani ya shilingi Bilioni 23 kutoka kwa Kampuni za
Puma Energy, Tiper (T) na NBC Bank PLC, ambazo imewekeza hisa zake,
katika ukumbi wa Hazina Mini Dodoma.
Waziri
wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb), akipokea hundi
kifani yenye thamani ya shilingi Bilioni 4.5 kutoka kwa Mwenyekiti wa
Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Puma Energy Dkt. Ben Mosha, wakati
wa Hafla fupi ya serikali kukabidhiwa Hundi za Mfano zenye thamani ya
shilingi Bilioni 23 kutoka kwa Kampuni za Puma Energy, Tiper (T) na
NBC Bank PLC, ambazo imewekeza hisa zake, katika ukumbi wa Hazina
(Treasury Squire) Mjini Dodoma.
Naibu
Waziri wa Nishati na Mdini Dk. Medard Kalemani, akizungumza jambo
wakati wa Hafla fupi ya serikali kukabidhiwa Hundi za Mfano zenye
thamani ya shilingi Bilioni 23 kutoka kwa Kampuni za Puma Energy,
Tiper (T) na NBC Bank PLC, ambazo imewekeza hisa zake, katika ukumbi
wa Hazina (Treasury Squire) Mjini Dodoma.
Waziri
wa Fedha na Mipango, Dkt Philip Mpango(Mb), (Katikati) akimwelekeza
jambo Msajili wa Hazina Laurence Mafuru, wakati wa Hafla fupi ya
serikali kukabidhiwa Hundi za Mfano zenye thamani ya shilingi Bilioni
23 kutoka Kampuni za Puma Energy, Tiper (T) na NBC Bank PLC, ambazo
imewekeza hisa zake, katika ukumbi wa Hazina (Treasury Squire) Mjini
Dodoma.
Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dorothy Mwanyika, akipokea
mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi Bil. 2.0 kutoka kwa
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Tiper (T), Prof. Abdulkarim
Mruma, wakati wa Hafla fupi ya serikali kukabidhiwa Hundi za Mfano
zenye thamani ya shilingi Bilioni 23 kutoka Kampuni za Puma Energy,
Tiper (T) na NBC Bank PLC, ambazo imewekeza hisa zake, katika ukumbi
wa Hazina (Treasury Squire) Mjini Dodoma.
Waziri
wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage (Mb)
akizungumza jambo wakati wa Hafla fupi ya serikali kukabidhiwa Hundi
za Mfano zenye thamani ya shilingi Bilioni 23 kutoka Kampuni za Puma
Energy, Tiper (T) na NBC Bank PLC, ambazo imewekeza hisa zake, katika
ukumbi wa Hazina (Treasury Squire) Mjini Dodoma.
Waziri
wa Fedha na Mipango, Dkt Philip Mpango(Mb), (Katikati) akinyoosha
dole gumba kuashiria "mambo safi", wakati akipokea hundi ya
shilingi Biln 16.5 kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB
Ineke Bussemaker, wakati wa Hafla fupi ya serikali kukabidhiwa Hundi
za Mfano zenye thamani ya shilingi Bilioni 23 kutoka Kampuni za Puma
Energy, Tiper (T) na NBC Bank PLC, ambazo imewekeza hisa zake, katika
ukumbi wa Hazina (Treasury Squire) Mjini Dodoma.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni