.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 30 Juni 2016

UHABA WA MAJI WAIBUA MAPIGANO NA HATA MAUAJI NCHINI INDIA


Ukame mkali katika mkoa ulio kando nchini India umepelekea kuibuka kwa matukio mengi ya ghasia na wakati mwingine kusababisha mauaji.

Kaskazini na maeneo ya kati ya India yanaendelea kukabiliwa na ukame mkali na joto huku polisi katika mkoa wa Bundelkhand na mikoa mingine wamekuwa wakipokea taarifa za mapigano makali ya kugombea maji.

Migogoro ya maji ni ya kawaida katika maeneo mengi nchini India yanayokabiliwa na uhaba wa maji, na mapigano makubwa hutokea mara kwa mara na kupelekea umwagaji damu.
      Mtu akikata kiu kwa kunywa maji katika eneo lililokauka kwa ukame hadi ardhi kupasuka
   Mkulima akimuangalia ng'ombe wake aliyeishiwa nguvu kutokana na kukosa malisho na maji

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni