Hiki ni Kikosi Kazi cha baadhi ya Wafanyakazi wa 102.5 Lake Fm, Raha ya Rock City #Radio ya Wananzengo. Radio hiyo ambayo ni inakiki jijini Mwanza hivi sasa licha ya kwamba bado iko kwenye majaribio, inaendelea na usaili wake ili itakapoanza kurusha vipindi vyake rasmi, ianze kwa mwendo kasi zaidi. Na BMG
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni