Hakika inapendeza pale unapoona kila siku wasanii wapya wanaibuka na kuonyesha uwezo mkubwa katika sanaa.
Kutoka Jijini Mwanza, vichwa viwili, Payusi na Mecrass ambao wanaunda kundi la "Payus Mecrass" wameachiwa wimbo wao uitwayo Chausiku ambao kiukweli umepokelewa vyema na hakika unakonga nyoyo na masikio ya wapenzi wa muziki.
Bonyeza Hapa Kusikiliza
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni