Video hiyo kwa mara ya kwanza
ilionyeshwa kwenye shoo ya People's Daily, ikimuonyesha mwanaume
mmoja akiwauliza wafanyakazi hao kwanini hawajiongezi kwa kupata
mafunzo.
Licha ya wafanyakazi hao kujibu
swali hilo kila moja, mwanaume huyo ambaye ni meneja wa benki hiyo alinza kuwacharaza bakora kwa
kutumia ubao hadharani mbele ya wafanyakazi wenzao.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni