Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Afrika ya Kusini katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Thamsanga Dennis Msekelu leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Afrika ya Kusini katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Thamsanga Dennis Msekelu leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni