Mkurugenzi
Uendeshaji wa Azania Bank, Nurdin Semnangwa akizungumza katika hafl
fupi ya kukabidhi hundi ya Shs. milioni 6 kwa Mfuko wa Maendeleo wa
Kondoa (KDF) jijini Dar es Salaam itakayosaidia ununuaji wa madawati
katika Wilaya za Kondoa na Chemba mkoani Dodoma.
Balozi
Mstaafu Cyprian Majengo akiongea wakati wa hafla ya makabidhiano ya
hundi Shs milioni 6 kwa ajili ya kununulia madawati katika Wilaya za
Kondoa na Chemba. Hafla ilifanyika jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
wa Uendeshaji wa Azania Bank, Nurdin Semnangwa akikabidhi hundi ya
Shs milioni 6 kwa Balozi Mstaafu Cyprin Majengo. (Picha na Francis Dande).
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni