Jumatano, 13 Julai 2016
SUPER D AENDELEA KUMNOWA BONDIA IDD MKWELA KWA AJILI YA MPAMBANO WA JULAI 16 MAGOMEN
Mabondia Vicent Mbilinyi kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Idd Mkwela anae jiandaa kupambana na Hussein Gobos Julai 16 katika ukumbi wa hotel ya Traveltain Magomeni mambondia hawo wananolewa katika kambi ya Super D Coach Uhuru GYM iliyopo Kariakoo.
Mabondia Gasper Mseven kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Idd Mkwela anae jiandaa kupambana na Hussein Gobos Julai 16 katika ukumbi wa hotel ya Traveltain Magomeni mambondia hawo wananolewa katika kambi ya Super D Coach Uhuru GYM iliyopo Kariakoo.

Mabondia Vicent Mbilinyi kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Idd Mkwela anae jiandaa kupambana na Hussein Gobos Julai 16 katika ukumbi wa hotel ya Traveltain Magomeni mambondia hawo wananolewa katika kambi ya Super D Coach Uhuru GYM iliyopo Kariakoo katikati na kocha wa kimataifa wa mchezio wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila.
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi Nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwa na Mabondia Vicent na Idd Mkwela.
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akiwa na mabondia Vicent Mbilinyi kushoto Idd Mkwela na Gasper Mseveni na Salim mponda ambaye ni bondia bingwa wa watoto anaetmba kwa sasa katika wilaya ya Ilala Picha zote na SUPER D BOXING NEWS.
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akiwa na mabondia Vicent Mbilinyi kushoto Idd Mkwela na Gasper Mseveni na Salim mponda ambaye ni bondia bingwa wa watoto anaetmba kwa sasa katika wilaya ya Ilala. Picha zote na SUPER D BOXING NEWS.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni