Mgombea
urais Marekani Bi. Hillary Clinton, ameahidi kuwa iwapo atachaguliwa
kuwa rais atakuwa rais wa Wamarekani wote waliomchagua na hata ambao
hawajamchagu.
Akiongea
katika hotuba yake ya kukubali kuteuliwa na chama kuwania urais,
Bi.Clinton amesema Marekani inahitaji watu wote ili kuilinda na
kuleta mabadiliko.
Bi.
Clinton amemtuhumu mpinzani wake wa chama cha Republican, Bw. Donald
Trump, kwa kupandikiza mbengu za uhasama baina ya watu.
Bi. Hillary Clinton akiwa na mumewe rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton
Bi. Hillary Clinton akimkumbatia binti yake Chelsea Clinton
Bi. Clinton akiwa na furaha mno akiwapungia mikono wanachama wa chama cha Democratic
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni