Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkongwe wa Filamu za Kihindi Bw. Kunal Kapoor aliyefuatana na Msimamizi wa Ofisi ya Utalii ya Zanzibar Mumbai,Nchini India Bw.Jilesh Babla walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa Mazungumzo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake Mkongwe wa Filamu za Kihindi Bw.Kunal Kapoor (katikati) aliyefuatana na Msimamizi wa Ofisi ya Utalii ya Zanzibar Mumbai,Nchini India Bw.Jilesh Babla (kushoto) walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo. Picha na Ikulu.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni