Alhamisi, 7 Julai 2016
DK. SHEIN MGENI RASMI BARAZA LA EID
Baadhi ya Viongozi akina Mama waliohudhuria katika Baraza la Eid el Fitri lilofanyika leo katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja ikiwa ni katika kusherehekea Sikukuu hiyo ya EID El Fitri inayofanyika kila mwaka baada ya mfungo Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,katika baraza hilo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.] 06/07/2016.
Baadhi ya Viongozi mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi na Wananchi waliohudhuria katika Baraza la Eid el Fitri wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja ikiwa ni kusherehekea Sikukuu hiyo ya EID El Firi iliyofanyika leo,[Picha na Ikulu.] 06/07/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akitoa hutuba yake kwa Viongozi mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi na Wananchi waliohudhuria katika Baraza la Eid el Fitrilililofanyika leo katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja, [Picha na Ikulu.] 06/07/2016.
Mawaziri wa Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi wakiangalia vitabu vya hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiitoa leo katika Baraza la Eid el Fitri lililofanyika katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi uliopo Mnazi mmoja Mjini Unguja,ambapo hufanyika kila mwaka baada ya kumaliza Mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 06/07/2016.
Kikosi cha Jeshi la Polisi cha FFU wakitoa heshma katika gwaride maalum la Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein alipohudhuria katika Baraza la Eid el Fitri lililofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja ikiwa ni kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 06/07/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (aliyesimama katika jukwaa) alipokuwa akipokea heshma ya gwaride maalum la Kikosi cha Jeshi la Polisi cha FFU katika kusherehekea Baraza la Eid el Fitri lililofanyika leo katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 06/07/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Wananchi mbali mbali na Viongozi katika kusherehekea Baraza la Eid el Fitri lililofanyika leo katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 06/07/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi pamoja na Wananchi mbali mbali na Viongozi katika kusherehekea Baraza la Eid el Fitri lililofanyika leo katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 06/07/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mama Fatma Karume pamoja na akina mama wengine katika kusherehekea Baraza la Eid el Fitri lililofanyika leo katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 06/07/2016.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni