Watafiti
wa masuala ya afya wamesema harufu ya kuku aliyehai inaweza kusaidi
kujikinga malaria.
Wanasayansi
wa Ethiopia na Sweden wamebaini mbu wa malaria huwa na tabia ya
kuwaepuka kuku na ndege wa aina nyingine.
Utafiti
huo uliofanyika magharibi mwa Ethiopia, ikihusisha kuku walio hai
kwenye vizimba karibu na watu waliojitolea na kulala kando ya vizimba
hivyo wakiwa kwenye vyandaru.
Mwaka
jana ugonjwa wa malaria uliuwa watu zaidi ya laki nne, barani Afrika
kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni