Katibu wa chama cha mpira mkoani iringa (IRFA) Ramadhani Mahano akiwa na Meneja wa kampuni ya Tigo kanda ya Kusini DAVIS KISAMO na kulia ni katibu wa chama cha mpira iringa vijijini JUMA LALIKA wakati wa makabidhiano ya vifaa vya michezo kwa chama cha mpira wa miguu wilaya iringa vijiji kwa ajili ya mashindano ya ligi daraja la pili, Tigo ndio wadhamini wa mashindano hayo.Jumatano, 27 Julai 2016
KAMPUNI YA TIGO YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA CHAMA CHA MPIRA WA MIGUU WILAYA YA IRINGA VIJIJINI
Katibu wa chama cha mpira mkoani iringa (IRFA) Ramadhani Mahano akiwa na Meneja wa kampuni ya Tigo kanda ya Kusini DAVIS KISAMO na kulia ni katibu wa chama cha mpira iringa vijijini JUMA LALIKA wakati wa makabidhiano ya vifaa vya michezo kwa chama cha mpira wa miguu wilaya iringa vijiji kwa ajili ya mashindano ya ligi daraja la pili, Tigo ndio wadhamini wa mashindano hayo.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni