Dereva
wa mbio za magari za Langalanga Lewis Hamilton ameweka rekodi ya
kutwaa mara tano ubingwa wa mbio hizo katika msimu huu katika mbio na
Hungary Grand Prix.
Katika
mbio hizo Hamilton alijikuta akisindikizwa na dereva mwenzake wa timu
ya Mercedes, Nico Rosberg, ambaye alimaliza mbio hizo katika nafasi
ya pili.
Huu
ni ushindi watano kwa Hamilton katika mbio sita na sasa anaongoza
katika msimamo wa madereva wa mbio hizo kwa pointi sita mbele ya
Rosberg.
Hamilton akimwaga champagne kushangilia ushindi wake
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni