Dereva
wa mbio za langalanga Muingereza Lewis Hamilton amefanikiwa kushinda
taji la tatu mfululizo la British Grand Prix.
Drereva
mwenzake wa timu ya Mercedes Nico Rosberg alipigana kiume na kumaliza
wa pili, kwa kumpita Max Verstappen.
Hata
hivyo Rosberg alijikutwa akipigwa penati kwa kosa la kupata msaada wa
maelekezo ya kuendesha gari licha ya kupata hitilafu katika mfumu wa
gia na kurudishwa nafasi ya tatu.
Lewis Hamilton akiwa amesimama juu ya gari lake mara baada ya kushinda mbio
Lewis Hamilton akiwa amebebwa juu juu na mashabiki wake wakishangilia ushindi
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni