Andy
Murray amekuwa bingwa wa michuano ya tenesi ya Wimbledon kwa mara ya
pili baada ya kuonyesha kiwango bora dhidi ya Milos Raonic wa Canada
katika fainali.
Raia
huyo wa Scot mwenye umri wa miaka 29, alimchakaza Raonic 6-4 7-6
(7-3) 7-6 (7-2) na kurejea kumbukumbu ya mwaka 2013 na kutwaa taji la
pili la Grand Slam.
Murray
anakuwa Muingereza wa kwanza kushinda mara mbili taji la Wimbledon
kwa mchezaji mmoja tangu kufanya hivyo Fred Perry mnamo mwaka 1935.
Andy Murray akifurahia ubingwa baada ya kumshinda Raonic
Milos Roanic akimpongeza Andy Murray kwa kumgusa mgongoni
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni