Baba yake Jorge Messi naye
amehukumiwa kifungo cha jela kwa kukwepa kulipa kodi nchini Hispania
inayofikia dola milioni 4.5.
Hata hivyo kunauwezekano wakaepuka
kifungo cha jela, kwa kuwa mfumo wa sheria za Hispania hutoa fursa ya kuwa
chini ya uangalizi kwa mtu aliyepewa kifungo cha chini ya miaka miwili.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni