.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 3 Julai 2016

MADC WAPYA MKOANI TANGA WATAKIWA KUSIMAMIA SHUGHULI ZA MAENDELEO KWA UMAKINI MKUBWA

Katibu Tawala Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Saidi akizungumza kwenye halfa ya kuapishwa wakuu wa wilaya wapya wa mkoa wa Tanga. Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mhe. Martine Shigella na Katibu wa CCM Mkoa wa Tanga, Ndg. Othumani Shijja.
Mkuu wa wilaya mpya ya Tanga Mhe. Thobias Mwilapwa akila kiapo kwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mhe. Martine Shigella wa pili kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Saidi
Mkuu wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga,Mhandisi Mwanaisha Rajabu akila kiapo kwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mhe. Martine Shigella

Mkuu wa wilaya ya Pangani, Mhe. Zainabu Abdallah Issa akila kiapo kwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga leo.
Mkuu wa wilaya Mpya wa Handeni Mkoani Tanga, Mhe. Godwin Gondwe akila kiapo kwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mhe Martine Shigella

Mkuu wa wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga, Mhe. Robert Gabriel akila kiapo kwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mhe. Martine Shigella anayeshuhudia kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Said.


Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Steven Ngonyani alimaarfu Professa Maji Marefu kulia akimtambulisha Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Mkoani Mwanza (CCM)Stanslaus Mabula wakati wa Halfa ya kuapishwa wakuu wa wilaya wapya leo


Mkuu wa wilaya Mpya wa Handeni Mkoani Tanga, Mhe. Godwin Gondwe kulia akitete jambo na aliyekuwa Mwandishi wa ITV na Radio One Mkoani Tanga,William Mngazija mara baada ya kuapishwa

Mkuu wa Mkoa wa Tanga katikati akiwa picha ya pamoja na wakuu wa wilaya wapya wa mkoa wa Tanga leo mara baada ya kuwaapisha

                                          Picha kwa hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni