.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 6 Julai 2016

MIMOSA BLACK CARD YADHAMINI MASHINDANO YA GOLF LUGALO

Baadhi ya wachezaji wa mchezo wa golf katika picha ya pamoja wakati wa mashindano ya kundi la ‘Breakfast Group’ yaliyofanyika katika viwanja vya golf Lugalo jijini Dar es Salaam hivi karibuni na kudhaminiwa na kampuni ya MIMOSA Black Card.
Mchezo wa Golf uliodhaminiwa na MIMOSA Black Card ukiendelea. MIMOSA Black Card ni kadi ya VISA inayowapa fursa watumiaji wa kadi hiyo kupata huduma za kibenki bila kuwa na akaunti ya benki.
Muonekano wa tuzo za washindi zilizoshindaniwa kwa nafasi ya kwanza, ya pili na ya tatu. Watumiaji wa MIMOSA Black Card watapata punguzo la bei katika manunuzi ya bidhaa na huduma katika vituo mbalimbali vya biashara nchini Tanzania na Afrika kila wafanyapo manunuzi kupitia kadi hii.

Wachezaji wakihesabu kiasi cha pointi walizocheza wakati wa mashindano ya golf kwa kundi la ‘Breakfast Group’ yaliyofanyika katika viwanja vya Lugalo hivi karibuni na kudhaminiwa na MIMOSA Black Card. Mteja wa kadi hii anaweza akaipata kiurahisi bila urasimu kwa kutumia kitambulisho cha aina yeyote.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni